Habari za sahiz wakuu naulizia driving school nzuri iliyoko Dar bei zao na muda ambao mtu anaweza chukua mpaka kumaliza mafunzo ya kuendesha gari ambayo ni manual. Hii ni kwa dereva wa magari ya kawaida tu ambaye tayari ana foundation nzuri kwenye driving
hii imetuliaNenda nit,fee 100,000 tu kwa,week mbili tu unachukua gamba
Hakuna driving school wilaya ya Temeke?
Hii iko wapi aisee.. Hii naona gharama yake si mbayaNenda nit,fee 100,000 tu kwa,week mbili tu unachukua gamba
Hii iko wapi mkuuNenda nit,fee 100,000 tu kwa,week mbili tu unachukua gamba
National insitute of transport, mabiboHii iko wapi mkuu
National insitute of transport, mabibo
Tembelea website yao wanakua na short course slza magari
Sent using Jamii Forums mobile app