Natafuta DLDM ya kununua ndani ya Dsm

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,926
7,903
Habari yenu wakuu
Natafuta DLDM (Duka la dawa Muhimu) ya kununua iliyopo DSM, iwe na sifa zifuatazo
#1. Iwe imesajiliwa hata kama haina leseni
#. Iwe location nzuri
#3. Iwe na mauzo ya kiridhisha

Ikipatikana nitalipa kiwango handsomely na cha kuridhisha,
Kwa mawasiliano zaidi unaweza piga 0764-803-515

Kuweni na siku njema wakuu

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Sio ujuaji wewe mbuzi mee usidhani kila MTU anaelewa huo ujinga wako. Umetoka chuo na boom bado linakupa kiburi. Tulizana humu hamna mjanja utaliwa!!!!
Mkuu ukiheshimu na kutumia lugha nzuri nadhani pia hutapungukiwa na kitu, masuala ya kuitana Mbuzi, ujinga, si busara sana kutumika kwa mtu ambae humjui hata umri au history yake
Kwa pamoja tutumie lugha nzuri kuifanya jf kuwa bora.

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom