Wanadu wa jukwaa, yeyote anayeweza kunisaidia mahala nitakapoweza kukipata kifaa hiki ndani ya TANZANIA atakuwa amenisaidia kwani nimeshatafuta sana kwenye maduka ya electronics bila mafanikio