mi mtu akiishasema php baaas.... yani siipendi php...
Idea yako naona sio mbaya ila ushauri tu, mtu utakayempata kujoin naye, hiyo homepage muianze straight from scratch, iko very shallow.. Hiyo font nayo sio ya kutumia kabisa kwenye website ya business. Hiyo acha mtu atumie kama decoration kwenye simu