Natafuta DC-DC Step down Convertor

Be specific unataka kutoka Volt ngapi zipungue hadi ngapi na katika current ipi???
 
Naweza ku designe
Hicho ndo kitu ambacho sikutaka kufanya nataka kupata 14.5v kutoka 19v ya laptop charger kwenye 2-3amps kwa matumizi kuchajia betri yangu ya 12v12ah.
Ukiwa na hiyo convertor ni kitendo cha dakika 2 kazi kwisha.
 
U better buy an AC to Dc adopter rated to 15 Vdc 2.7 Amps for Sony Pcs
 
Hicho ndo kitu ambacho sikutaka kufanya nataka kupata 14.5v kutoka 19v ya laptop charger kwenye 2-3amps kwa matumizi kuchajia betri yangu ya 12v12ah.
Ukiwa na hiyo convertor ni kitendo cha dakika 2 kazi kwisha.

Unachotaka kufanya nilishawahi kujaribu kitambo ila ilishindikana, adaptor ya laptop ilikua inajizima kama vile kuna short circuit,

Solution
Tafuta power transformer ya volt 16-19V 3-4 Amps, tengeneza bridge rectifier then unaweza hook na buck converter kupata regulated 14.5v kwa ajili ya kuchaji battery lako, ila ni vizuri kujua muda na pia specs za battery maana battery zinatofautiana charging current.
 
feed 19V yako kupitia PWM solar controller (10A) (sio mppt) kwenda kwenye battery, problem solved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…