Chocolate25
Member
- Feb 1, 2021
- 13
- 19
ulijua vipi ni ndogo?Mambo zenu wana Jf. Nina shida ya low sperm motility cjaweza mpa mwanamke yyte ujauzito, naomba kujuzwa dawa za kutibu sperm motility. Motility yangu ni ndogo naombeni msaada.
Asante
Wanapima hospital.ulijua vipi ni ndogo?
hao hao wangempa njia ya kuongezaWanapima hospital.
Huko PM kuna uwezekano wa kupigwa,kwanini usiseme hapa?Njoo PM mi nimtaalamu wa tiba mbadala
Tende unazijua? Kula kila siku bi idhin llah utapona.Habari wana JF.
Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility au mwenye kufaham lishe nzuri ya kusaidia sperm motility naomba anisaidie.
Asante.
Mi ni tajiri Sana naishi Burj khalifa huku Dubey Sasa nikupige we maskini!Huko PM kuna uwezekano wa kupigwa,kwanini usiseme hapa?
Hata huku buza kwetu kuna Burj khalifa,mwaga hapa kwa faida ya woteMi ni tajiri Sana naishi Burj khalifa huku Dubey Sasa nikupige we maskini!
Sasa mkuu kwani huko uliko pimia si ndio unatakiwa wakuandikie dawa?ushauri wangu tumia dawa, za kizungu, sio mbaya wakati huo ukiwa unatumia na tiba mbadala kama utapenda, kwani kwenye tiba mbadala upigaji ni mwingi sana na gharama zake ni kubwa sana, na ni kubahatisha tuHabari wana JF.
Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility au mwenye kufaham lishe nzuri ya kusaidia sperm motility naomba anisaidie.
Asante.
Kwa MparangeBurj Khalifa ndo lile jengo la yanga pale Jangwani?
Tiba yake ni tofaut tofaut kulingana na kisababishi cha iyo shidaHabari wana JF.
Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility au mwenye kufaham lishe nzuri ya kusaidia sperm motility naomba anisaidie.
Asante.
Mkuu hao waliokujuza una hiyo Low sperm Motility walishindwa kukupatia Dawa?Mambo zenu wana Jf. Nina shida ya low sperm motility cjaweza mpa mwanamke yyte ujauzito, naomba kujuzwa dawa za kutibu sperm motility. Motility yangu ni ndogo naombeni msaada.
Asante