Natafuta dawa ya kukojoa kitandani

Natafuta dawa ya kukojoa kitandani

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,205
Habari wakuu kama nilivyosema mdogo wangu anakojoa kitandani mpaka leo hii yupo form 1 tumempeleka boarding lakini tatizo bado lipo mpaka leo hii hadi walimu wanataka kumrudisha nyumbani
 
Hebu sema ni shule gani hiyo ambayo inataka kumfukuza mwanafunzi kisa anakojoa kitandani ili serikali nayo isikie.
 
Back
Top Bottom