muhuni mpya JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 300 Reaction score 166 Jul 7, 2019 #1 habari wakuu naombeni msaada wenu na ushauri, natafuta dawa yakuacha pombe yeyote mwenye ujuzi au maalifa naomba aweze kunipatia, kuna lafiki yangu mmoja anateseka sana kwa izi pombe. asntn
habari wakuu naombeni msaada wenu na ushauri, natafuta dawa yakuacha pombe yeyote mwenye ujuzi au maalifa naomba aweze kunipatia, kuna lafiki yangu mmoja anateseka sana kwa izi pombe. asntn
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,281 Reaction score 7,953 Jul 7, 2019 #2 Siku akilewa Sana mpasulie yai kunako tigo, asipoacha atakua kazoea