Natafuta dawa ya chuma ulete

Natafuta dawa ya chuma ulete

tolu mix

Member
Joined
Nov 18, 2019
Posts
17
Reaction score
11
kichwa cha habari kinajieleza wadau,tupeane mbinu biashara tunapiga biashara tunakimbiza sana jion unacheki salio halisomi tupeane maujanja mitaji inakata jaman
 
Hivi vitu mkuu ila ugumu unakuja kumpata anayetoa dawa ya ukweli wengi wao ni janja tu.
 
Chukua ndulele kitunguu na mkaa vifunge pamohja weka unapohifadhi hela
 
Back
Top Bottom