Habari za majukumu wadau
Natafuta dalali ambaye anaweza nisaidia kupata wanafunzi wa chuo, nina hostel maeneo ya Mbagala kipati. Hostel ipo kadiri ya kilometa 5 toka vyuo vya TIA na Chuo cha Diplomasia na kilometa 6 chuo cha DUCE.
Kama kuna mtu anaemjua dalali yeyote mzuri anisaidie namba zake. Au anipigie kwenye namba 0717373190.
Ahsanteni