Natafuta dagaa wa chumvi

Natafuta dagaa wa chumvi

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,054
Reaction score
4,114
nahitaji hawa dagaa bei ya jumla kwa mwenye nao hawa dagaa au kufahamu wanakopatikana naomba ushirikiano nilikuw nauza wale wakukaanga ila soko limeamia huku tena
 
Huwa tunawaita "Uono" kule jijini Tanga wako wengi sana
 
nahitaji hawa dagaa bei ya jumla kwa mwenye nao hawa dagaa au kufahamu wanakopatikana naomba ushirikiano nilikuw nauza wale wakukaanga ila soko limeamia huku tena
Mkuu njoo chobingo, no-go upo wakutosha. Kuna wakukausha kwa jua ba kuchemsha. Hawa wakuchemsha unasogeza ugali tu unakula.
 
nahitaji hawa dagaa bei ya jumla kwa mwenye nao hawa dagaa au kufahamu wanakopatikana naomba ushirikiano nilikuw nauza wale wakukaanga ila soko limeamia huku tena
habari, vip umeshapata dagaa, mm ninawauza kwa jumla je unatak uono wa kuchemshwa au ule wa kawaida tu nicheki kwa number hii 0654564224 nko dar
 
Acha kusumbuka nunua hawa wa kawaida wamwagie chumvi.
 
Back
Top Bottom