Nessa mbise
Member
- Dec 12, 2018
- 21
- 19
Wewe mama mtoto utakua wapi kuacha mtoto wa miezi 4. na mtu wakutafuta mitandaoni....duh wa mama wasiku hizi ni bomb huruma ya mzazi mna zero.Natafuta Dada wa kazi atakayeweza kulea mtoto wa miezi minne.
Sehemu ni kinondoni-Dar es salaam.
Mshahara maelewano. Atakayekuwa naye anitafute kupitia 0738787009
Ninakazi kwahiyo na matenity leave imeisha Mimi sio mama bomb kipindi chote nmemlea mwanangu peke yanguWewe mama mtoto utakua wapi kuacha mtoto wa miezi 4. na mtu wakutafuta mitandaoni....duh wa mama wasiku hizi ni bomb huruma ya mzazi mna zero.[/
Nina kazi na matenity leave imeisha Mimi sio mama bomb kipindi chote nmemlea mwenyewe mwananguWewe mama mtoto utakua wapi kuacha mtoto wa miezi 4. na mtu wakutafuta mitandaoni....duh wa mama wasiku hizi ni bomb huruma ya mzazi mna zero.
200,000 Sina mkuuKwenye mshahara ungetaja figure kabisa! Sema hata 200,000+ kutegemea na performance. Utapata chap
Haina shida mkuu wadada wapo wengi tu. Tafuta mtu wa Singida wanyaturu wanaweza sana hizo kazi na wanazipenda200,000 Sina mkuu
Bei makubaliano Lkn hapo kwa laki mbili sijafka bado
AsanteHaina shida mkuu wadada wapo wengi tu. Tafuta mtu wa Singida wanyaturu wanaweza sana hizo kazi na wanazipenda
Jina la hiyo page
Nakarbia kuanza kwenda job ndo maana napata tabu
Sio mnyanyasaji ?Nina kazi na matenity leave imeisha Mimi sio mama bomb kipindi chote nmemlea mwenyewe mwanangu
huitaji kaka wa kazi?Nina kazi na matenity leave imeisha Mimi sio mama bomb kipindi chote nmemlea mwenyewe mwanangu
Nlishapata tayari