Natafuta CPU used,niuzie basi!

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
Natafuta CPU used iwe hali nzuri.
Vigezo:
4gb RAM,150gb HD or more iwe na HDMI port.
Dau langu 120,000.
 
Nauza laptop yangu used ni HP Compaq presario CQ 50, 2GB ram, 150 HDD, Speed 2GHz. Ina webcam, ila betri haikai na chaji, pia feni ni Mbovu. Bei laki na nusu, pungufu unaongea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom