Natafuta CPA Class review Sumbawanga

Natafuta CPA Class review Sumbawanga

kamwendo

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
908
Reaction score
1,937
Wakuu,
Naomba kwa yeyote anayejua mahali ninapoweza kupata class review iwe imesajiliwa au hata mtu binafsi mwenye CPA au ACCA maeneo ya Sumbawanga mjini aniwekee contact hapa ili niweze kudiscuss ngazi ya foundation level

Natanguliza Shukrani.
 
Oya hebu nijuze kuhusu sumbawanga clinical officer training centre kuna dogo wangu kachaguliwa huko
 
Karibu mkuu,
Me nina miaka 2 miwili huku ni kuzuri kimazingira,hali ya hewa,huduma za jamii,maisha ni nafuu.

Kuhusu hiko chuo cha Sumbawanga Clinical Officer nakifahamu kina mazingira mazuri ya kusomea kwa ujumla ni chuo kinachomfaa hasa mtu aliye na mwamko wa kusoma.

Shida ni kama ataweza kuendana na kasi ya vipindi vya darasani na hali ya hewa hasa baridi la huku.
All in All, mwambie dogo ajipange kwelikweli msuli wa Sumbawanga Clinical Officer Training Center si wa mchezo...Wengi wao huzoa sup.

Karibu Sana Mkuu.
 
ahsante sana mkuu vipi kuhusu bweni zpo?
 
Back
Top Bottom