Wadau, nauliza wapi kwa hapa Dar es Salaam nitapata cover ya simu Viwa X7. Mwenye kujua anijuze tafadhali!
Ndio ilikuja na cover yake lakini bahati mbaya iliingia maji ktk kuianika juani cover ikaharibika
Kwa sasa hakuna, ila nishaongea na agent wa Tanzania ... Anajitahidi kuleta accessories very soon !!! Asante
- Munawar