NATAFUTA CONNECTION ZA IT

NATAFUTA CONNECTION ZA IT

drginwey

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
11
Reaction score
8
Wengi mtanishangaa lakini nimeona maisha ni watu na watu ni sisi.
Nipo mwaka wa kwanza nachukua degree ya Information Technology kama kuna watu wa group la whatsapp au fb waniadd wadau napenda kupata ujuzi na mtandao mzuri wa marafiki kwa ajili ya future
455ca334da23e0e3fa8503b3f684156e.jpg
 
Back
Top Bottom