Natafuta computer used yenye specification hizi Nina laki 3

Natafuta computer used yenye specification hizi Nina laki 3

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
578
Natafuta computer
Yenye specification zifuatazo
Iwe na RAM 4GB au zaidi
Core i6 au i5
64bit operating system
Laptop au desktop
NVIDIA shield graphics
 
haha core i7 zipo kama kawaida.. processor zipo duo core, Pentium za series mbalimbali, core i3, core i5, core i7.. hiyo core i6 ndio naiskia leo mkuu wangu..
Ohh mkuu nime kupata so, hizi processor zina fuata mfumo wa odd numbers ,3,5,7
Thanks kwa kunieleza
 
haha core i7 zipo kama kawaida.. processor zipo duo core, Pentium za series mbalimbali, core i3, core i5, core i7.. hiyo core i6 ndio naiskia leo mkuu wangu..

Hawa ndo wanaendaga dukani afu wanaulizia memory card ya 10gb,..😀😀😀
 
Natafuta computer
Yenye specification zifuatazo
Iwe na RAM 4GB au zaidi
Core i6 au i5
64bit operating system
Laptop au desktop
NVIDIA shield graphics
Niandalie 450,000 nikupe mashine yenye specifications zinazoshabihiana Na hizo
 
Back
Top Bottom