Dah, mkuu mbona unatafuta mashine za kizamani sana? au "fundi" wako amekuambia hzo ndy mashine ya ukweli? piga namba hii 0717293666 ongea na Mchina mmoja anaitwa Jin, kuna kipindi alikuwa nazo nyiiingi mno. Bei yake nadhani itakua km elf70 mpk laki hv! Ukikwama tuwasiliane kwa pm nitakuunganisha na watu wanaofanya hzo bz.