labda nkufundishe kitu, hakunaga unique idea kama unavodhan watu wanauliza maelezo zaidi ii wajue wanafit vp kwenye hilo wazo, huezi ukasema tu natakaw atu wa kufanya nao kazi alafu umemalizaSasa lama sio ya kuiba mbona watu wanataka maelezo, ya nini?
Kwani hio E commerce kila mtu anaweza kuitekekeza iwe app ? Si inahitaji ubunifu kuiunda au unaunda kama stuli?
Ingekuwa mambo ni simple hivyo yangejaa ma app kama Amazon, Aliexpress nk, mbona hizo app hazipo za kutosha huku kwetu kama ni simple.
Basi kama ni simple unda ya kwako upige mihela ya ku download.
ukitaka kufanikiwa lazima uwe exceptional , kukaa na kusema nna idea 100% hiwezi tokaMkuu njia nzuri ni ipi? Kulinda project za watoto wa maskin waliosota Hadi kuiweka idea kwenye hewa au hata kuiandaa tu halafu anatokea fara mmoja anaiiba ama kukopi ,, au yoyotee anaetaka kuja kua co founder na wewe hata kuongea na wewe akisema umuelezee project ilivyo basi muingie mkataba wa kisheria kabisa ..
Ndo ujiulize wewe unabaki nyuma mpka lini amkaa sasaMkuu bongo hii watu wanapiga bilioni 30 za uwanja tu hakuna mainvesta wenye fwedha?
Niamke niende wapi🤣🤣🤣 mmesema bongo hakuna investor...ni uongo sababu matajiri wamejaa kibao ni kuwatafuta na kuwaendea na kuwashawishi wawekeze kwako na project yako.Ndo ujiulize wewe unabaki nyuma mpka lini amkaa sasa
ata apa unaweza pata alafu sio lazima uwekezaji uwe ela unaweza kumconnect mtu ikawa mtaji mkubwaNiamke niende wapi🤣🤣🤣 mmesema bongo hakuna investor...ni uongo sababu matajiri wamejaa kibao ni kuwatafuta na kuwaendea na kuwashawishi wawekeze kwako na project yako.
Sasa mkuu utafanyeje kazi peke Yako ?Wizi wa idea. Mtu kama mchina akipata hints tu kesho unaiona software. Trust no body. Mie mwenyewe nina project 5 naziendeleza, project 3 ni kubwa sana AI amenishauri niunde team, sasa nani wa kumuamini au wa kujitolea ! Ukiamua umdokeze tu mtu ndio unaweza kuwa mwisho wa project yako. Mwafrika ni mtu asieaminika kabisa.
For you own risk weka wazi peoject yako hapa ulie.
Waswahili wanasema mficha uchi hazaiWizi wa idea. Mtu kama mchina akipata hints tu kesho unaiona software. Trust no body. Mie mwenyewe nina project 5 naziendeleza, project 3 ni kubwa sana AI amenishauri niunde team, sasa nani wa kumuamini au wa kujitolea ! Ukiamua umdokeze tu mtu ndio unaweza kuwa mwisho wa project yako. Mwafrika ni mtu asieaminika kabisa.
For you own risk weka wazi peoject yako hapa ulie.
😂😂😂😂 Yaani hata Mimi nimeshangaakwamba ecommerce ndo idea ya kuiba? 🤣
min -meHabari wakuu,
Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili tusonge mbele pamoja.
Nahitaji mtu ambaye ataweza kuchangia kwa kiasi fulani (either kifedha au nguvu kazi) halafu tusajili kampuni pamoja na kugawana hisa kwa makubaliano yetu. Tuko kwenye hatua za mwanzo kabisa, so this is a great time kuingia.
2025 bado tunaishi kwenye hofu za namna hii. Sad.For you own risk weka wazi peoject yako hapa ulie.
dogo hayupo serious😂😂😂😂 Yaani hata Mimi nimeshangaa
tushamsahauri sana naona anasema hataki idea iibweElezea wazo lako kwa uwazi, weka mpango wa kibiashara hapa wa idea yako, na namna inaweza leta faida, na eleza kama ina run au bado iko kwenye development stage?
Mwisho unahitaji nini? Nzuri kama ukialika mtu/watu kuwekeza kwa kiwango fulani unachohitaji kwa mabadilishano ya hisa(equity share).
Tumwache kwanza Bado hana njaadogo hayupo serious
Una idea yoyote ya kitu kinaitwa kampuni kweli Mkuu hasa kimuundo na namna kinavyofanya kazi kisheria?, kama hauna unahitaji usaidizi wa kuelimishwa mambo hayo.Habari wakuu,
Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili tusonge mbele pamoja.
Nahitaji mtu ambaye ataweza kuchangia kwa kiasi fulani (either kifedha au nguvu kazi) halafu tusajili kampuni pamoja na kugawana hisa kwa makubaliano yetu. Tuko kwenye hatua za mwanzo kabisa, so this is a great time kuingia.
Ndio ni pesaa lazima uwe na ideaIdeas ndio pesa yenyewe. Kama unadhani ideas sio pesa basi weka ideas zako hapa na ueleze jinsi ya kuzitekeleza kinaga ubaga.
Ina maana wewe huna ideas mbona huziweki hapa ? Weka kwanza ideas zako hapo ili niamini ulichokiandika vinginevyo utakuwa unatupanga.
Pesa haitoshii siku zote ila bongo bado venture zetu hazina ukwasii nishapita huko nimeona ndo mana nasema sis tujikwamie kiuchumi tuje tusaidie startup zetu hapa bongoNiamke niende wapi🤣🤣🤣 mmesema bongo hakuna investor...ni uongo sababu matajiri wamejaa kibao ni kuwatafuta na kuwaendea na kuwashawishi wawekeze kwako na project
Zinaboreshwaa everything unachokiona watu wa zaman ndo walianza nacho sis tumekuja kuboresha tuSawa ila approach zitatofautiana tu.Sidhan kama Amazon inalingana na Alibaba. Sio kIla idea ipo kwa kila mtu. Hakuna jipya chini ya jua ila kuna innovation mpya.
Ideas duniani hazijaisha ndio maana kila kukicha ginazinduliwa vitu vipya.
Halafu innovation na invention ni kipaji anapewa mtu na mungu, hivyo usije dhani invention zitaisha provided binadamu wapo.
Ajui kufanya idea ifanye kazi sio kitu chepesii2025 bado tunaishi kwenye hofu za namna hii. Sad.
Mazingira aya supportNi mshamba mimi niliwah kua top 10 ya startup kugombeaa tuzo tupate wawekezaji ikashindikana ni ilikua kuhusu food delivery baade naona uberEat, doordash zinakiwasha ila still kama una vision usiogope competition we anza tu.. ndo nikatambua kupata network ya investor. Kuwekeza bongo bado still tuna lack investor. Wenye ukwasii
Yes ni kweli kakaMazingira aya support
Illiteracy rate ipo juu na awarenes haipo
Idea ya platform ya hvyo au delivery itafanya vzuri mijini kwa dar, zenji, arusha
Tatizo uaminifu na bongo kila mtu ana boda wake
Investor hawez kuwek pesa yke haoni scalebility ya mradi kuwa na uwezo wa ku diversify ije iwe kampuni ya africa
Nipo nafanya kazi na Nala ila jamaa aliamua abadili upepo a focus n nchi nyingin maan kwa bonho kwa uwekezaji kama uo bdo