Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 919
- 938
Niaje wanJF, kama kichwa cha habar kinavyoelezea. Nimedzan system ya masoko ila challenge inakuwa kwenye kuingiza bei ya mazao Kwa mikoa mingne kwaiyo kama kuna mtu anakuwa interest tunaweza tushare percent ila profit ni baadae baada ya kufanikisha data zote za mazao zanakuwa update il kupata users wengi. Link below unaweza ukaangalia baadh ya features zilzoziweka kwenye system.
https://www.youtube.com/watch?v=gNM3JXSxbp8&feature=youtube_gdata_player
https://www.youtube.com/watch?v=gNM3JXSxbp8&feature=youtube_gdata_player