wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 113
sumsung yangu, ilipiga shot wakati nimechomeka kwenye sub woofer la kichina. Nikaenda pale posta jiran na JM mall, kwa sumsung service wakaniambia mashine yake imekufa yakubadilisha, na wao wakasema hawana, kwaiyo msaada kama mtu anao utaalam wakuagiza hata online anijuze kama zinapatikana na kuweza kununua online