Ndiyo, Unaweza kusoma hiyo fani ya Umeme iwapo Utapitia VETA.
Muhimu angalia Vyuo vya Ufundi kwenye eneo ulipo then utume maombi ya kujiunga.
Kama nafasi itakuwa Finyu hapo DSM, Nenda hata Vyuo vya Veta vya Mikoani ili utimizie ndoto yako.
Hongera umechagua Fani nzuri ya kusomea, huku nilipo Kumpata Fundi kwaajili ya Wiringi ya Nyumba imekuwa kazi kidogo hasa kwa Nyumba ambazo zima Ramani, Mafundi wengi hawana Ujuzi wa kusoma ramani na ku-Implement.