Mtafutakweli
New Member
- Mar 10, 2017
- 4
- 2
Nimehitimu kidato cha NNE mwaka Jana na Nina 2. Na ninataka kujiunga cha chuo cha afya kozi ya clinical officer;je wadau mnaniambiaje?na ni chuo gan kizuri nachoweza kuchukuliwa kma cha serikali?
Omba kilosa cotc, lugallo cotc, kibaha cotc, mtwara cotc, muhimbili kuna diploma nzuri pale zipoNimehitimu kidato cha NNE mwaka Jana na Nina 2. Na ninataka kujiunga cha chuo cha afya kozi ya clinical officer;je wadau mnaniambiaje?na ni chuo gan kizuri nachoweza kuchukuliwa kma cha serikali?
PCB Nina C flat,mathes nina D;Art Nina C flat.Wekaaa marks zako za PCB math na English
Why hata kama una sifa? Wana kipi cha ziada mpaka kuwe na ukiritimba huo?Zanzibar college of health sciences- mbweni Zanzibar, Ila uwe na mtu madhubuti unayemjua yupo kwenye uongozi hata uwe na div 0 utapata