L lee akyoo Member Joined Feb 21, 2013 Posts 14 Reaction score 1 Mar 28, 2013 #1 mimi nimemaliza fourm 4 na kupa ta division 4 natafuta chuo cha tecnical ili kuchukulia fani yangu na chuo chenyewe kiwe kinatoa mafunzo ya electronic and communication
mimi nimemaliza fourm 4 na kupa ta division 4 natafuta chuo cha tecnical ili kuchukulia fani yangu na chuo chenyewe kiwe kinatoa mafunzo ya electronic and communication
Ruhazwe JR JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 3,402 Reaction score 927 Mar 28, 2013 #2 Mkuu jukwaa hili si mahala pa kuweka mambo ya elimu,nenda jukwaa la elimu