Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naulizia kama kuna anaefahamu chuo chochote cha serekali kinachotoa diploma in phamacy anijuze. Nitangulize shukran za dhat