Natafuta Chumvi ya LoSalt original from UK

Zimba XXV

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,875
Reaction score
4,330
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mwenye kujua chumvi hii inapatikana wapi ani PM au anijuze humu 06****473 Ni nzuri kwa wagonjwa na wazee Mara ya mwisho niliipata Choppies ya Aura mall lakini sasa hawana na nimetafuta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana nitafika Pale chapu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…