Natafuta chumba maeneo ya TCU

Natafuta chumba maeneo ya TCU

khamsinda

Senior Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
109
Reaction score
92
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ardhi.
Natafuta chumba maeneo ya sinza mitaa ya tcu au hata kivulini, catalunya au lufungila..

Kiwe cha tiles na kikubwa
Bajeti yangu 100k

Hata kama nyumba maeneo hayo inapangishwa nikapata room ya laki ndani ya hiyo nyumba ni fair pia.

Napenda kuwasilisha
 
Vip Manzese hautaki?
Njoo umuone Madee na Dogo Janjaro live.
 
Back
Top Bottom