M Melxcom991 Senior Member Joined Aug 2, 2021 Posts 101 Reaction score 120 Jan 24, 2025 #1 Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta
Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,195 Reaction score 1,249,559 Jan 24, 2025 #2 All the Best
M Mundele Makusu1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 2,617 Reaction score 3,708 Jan 24, 2025 #3 Cheza na madalali na wenyeji utapata Tu
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 43,482 Reaction score 108,569 Jan 24, 2025 #4 Kila la kheri mkuu
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,482 Reaction score 5,135 Jan 24, 2025 #5 "Mwenye nyumba yupo mkoaniiii! Halafu pale ni pazuri sana, hata umeme matumizi yao sio makubwa maana wote hawashindi pale" Wenje Dalali 😂
"Mwenye nyumba yupo mkoaniiii! Halafu pale ni pazuri sana, hata umeme matumizi yao sio makubwa maana wote hawashindi pale" Wenje Dalali 😂