Mimi ni mkaka wa miaka 34, naishi nje ya nchi ila narudi Tanzania baada ya muda mfupi ujao. Natafuta chumba kimoja kwa muda wa siku 12 hadi 13 nitakapokuwa Tanzania. Kuna baadhi ya watu wenye nyumba yenye vyumba vya ziada.
Ningependa kupata sehemu kama hiyo maeneo ya Hoysterbay, Mikocheni, Mbezi, Kawe, Bahari Beach, na Kunduchi. Ninasafiri peke yangu. Nitalipia na pia kuchangia chakula
Makazi yangu ni Bunju mwisho, ila kutokana na shuguli inayonileta, sitaweza kuamka kila siku na kuendesha gari hadi mjini bila kuechelewa. Ninachohitaji ni sehemu ninakoweza kupaki gari langu dogo, kupata maji ya kuoga na choo safi. Ningekaa hotelini ila kwa bahati mbaya sipendagi mazingira ya hoteli hasa ninaporudi nyumbani
Usijali huku ulikotaja siku hizi zina appartment za kila kiwango mafisadi wamewekeza huku hasa zile nyumba walizouziana wamehama wamezifanya za biashara labda nikutafutie mpishi na wakukufanyia usafi tu
kuna apartment maeneo ya Ostabey B karibu na uwanja wa leaders club inapangishwa kwa mwezi $ 1000 full furnished unaweza lipia kwa huo mwezi mmoja . hata kama utaakaa siku 13 . 0647145555
Mkuu taja offer yako, pengine waweza chagua kati ya sehemu tatu nilizonazo mbezi beach/kawe beach, parking ta kutosha na maji mda wote,karibu na bahari pembeni mwa barabara. Btw aina gani ya kilevi unatumiaga??!!