vaxromeo91
Senior Member
- Sep 16, 2015
- 154
- 74
Natafuta chumba kimara mwisho au mbez mwisho kiwe karibu na barabara, pia kiwe na ceilingboard
Ni pm namba yko mkuumimi namalizia changu kimara mwisho,chumba 1 na choo maji yapo ya uhakika,bei 70,000
Luguruni kibamba unaweza kupapenda?,ni mwendo wa dk 5 to main road(morogoro road)Msaada please maana bdo cjapata
Nashukuru mkuu, luguruni mbali na shughuli zanguLuguruni kibamba unaweza kupapenda?,ni mwendo wa dk 5 to main road(morogoro road)
dk 5 kwa usafiri upi,bodaboda,miguu,gari,bombadier n.kLuguruni kibamba unaweza kupapenda?,ni mwendo wa dk 5 to main road(morogoro road)
Boss bado hicho chumba kipo? Ni umbali gani kwenda barabarani.mimi namalizia changu kimara mwisho,chumba 1 na choo maji yapo ya uhakika,bei 70,000
kimeshanyakulia mkuuBoss bado hicho chumba kipo? Ni umbali gani kwenda barabarani.