Natafuta chumba kikubwa self contained morogoro mjini

Natafuta chumba kikubwa self contained morogoro mjini

escada

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Natafuta chuma moro mjini kikubwa kinachoweza fanyiwa partition ama kama vipo viwili vikubwa pia nisawa.mazingira ya nje yawe ya kuridhisha.
 
Natafuta chuma moro mjini kikubwa kinachoweza fanyiwa partition ama kama vipo viwili vikubwa pia nisawa.mazingira ya nje yawe ya kuridhisha.

Ni vema ungesema maeneo gani unapenda kukaa, mi nashauri nje ya mji kuna vyumba vizuri self contained mitaa ya Kola, Kigurunyembe, Area 5, Kilakala na pia uanishe uwezo wako ni kulipia kwa muda gani na viwe vya bei gani!?
 
Pitia uzi huu wa Mastamind https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=736710

Nampango wa kuhamia Arusha sasa ctaki kuhangaika kubeba mavitu,

Chumba kipo Moro mjoni kati kabisa mitaa ya Uhuru kodi ishalipiwa mpk mwakani mwezi wa Feb.
Chumba kina vitu vyote muhimu na vya kisasa kabisa vyenye umri wa mwaka mmoja, vitu hivyo ni Kitanda na godoro lake futi tano, sofa lakisasa kwa vijana lazma walikubali, mkabati wa nguo futi tano kwa tano, Tv frat screen Samsung galaxy hyo nch 26 na dish lake lake futi sita channel zote full,, bufa, deck haijatumika toka upya, fen ya juu, dressing table, fen ya chini, red capet manyoya futi kumi majaba ya maji, jiko la gesi na set ya masufuria yake, Bike yakutembelea hapa na pale na other accessories za ndani muhim

nichek 0685989130
 
Last edited by a moderator:
huku hautapata jibu sahihi,hapa mjini hauwezi kupata chumba/nyumba kwa urahisi bila ya kupitia kwa dalali. sehemu wanakopatikana madalali wa uhakika ni eneo la masika au pale mjini kati karibu na stendi ya magari madogo, sehemu hizo hakika utapata kiasi ukienda saa nne saa saba una hamia. kila la heri
 
Kwa mjini tafuta dalali utapata room haraka
 
Back
Top Bottom