Njoo tushee changu... kodi nalipa mimi.Chumba kiwe Magomeni, kinondoni, ilala, tabata segerea au njia ya Tegeta. Bei yangu ni kuanzia 50-60 kodi miezi mitatu.
Njia ya Tegeta ni PM sasa ivi tena utakuwa jirani yangu me sio dalali chumba ushapata nitakufanyia tu kiroho sayona kwavile we mwana JF mwenzangu.Chumba kiwe Magomeni, kinondoni, ilala, tabata segerea au njia ya Tegeta. Bei yangu ni kuanzia 50-60 kodi miezi mitatu.
Mkuu hicho chumba ndo vile umeme ni kuchaji simu tuu maji asubuh mlango wa bati mixer kuvuja au?????Nnacho hapa v'nguti-Ilala 35000
Kiko fresh kabisaMkuu hicho chumba ndo vile umeme ni kuchaji simu tuu maji asubuh mlango wa bati mixer kuvuja au?????
Njia ya tegeta inaanzia mwenge sasa wewe ndo ungeniambia unataka pande zipi.Njia ya Tegeta naifahamu vizuri sana nambie sehemu gani?
Kikipatikana mkuu nijulishe na mimiKuanzia Mwenge hadi tangi bovu.