Cold Ice Member Joined Dec 26, 2018 Posts 22 Reaction score 4 Jan 4, 2019 #1 Natafuta Chumba Dar es Salaam single Cha kupanga Chumba kiwe na umeme na maji yawepo nje Kodi 30000 Kama unacho nickek 0768776716
Natafuta Chumba Dar es Salaam single Cha kupanga Chumba kiwe na umeme na maji yawepo nje Kodi 30000 Kama unacho nickek 0768776716
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,047 Reaction score 79,149 Jan 4, 2019 #2 Ungeyasema na maeneo unayoyataka boss. Maana mtu atakwambia chumba kipo Gongo la Mboto kumbe wewe unataka maeneo yaliyochangamka.
Ungeyasema na maeneo unayoyataka boss. Maana mtu atakwambia chumba kipo Gongo la Mboto kumbe wewe unataka maeneo yaliyochangamka.