Natafuta chumba cha kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta chumba cha kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Thebony, Oct 27, 2012.

 1. T

  Thebony Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natumaini ndugu zangu wana jf wote tumeamka salama,
  mimi nasoma hapa mliman mitaa ya Aru ila sijapata sehemu ya kuish kama una nyumba mitaa ya savery au mwenge au jirani na maeneo hayo.nijulishe kuptia 0758143110.asant
   
 2. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Unatoka mkoa gani?

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mbona madalal kibao wapo? Watafute ila andaa mkwanja wa kueleweka
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ungeiweka kule jukwaa la matangazo madogomadogo utapata fasta, huku si mahali pake!!
   
Loading...