rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,165
- 43,854
Natafuta chumba cha Kupanga kiwe kikubwa cha kutosha Kama ni self itapendeza zaidi...!! Kiwepo maeneo ya Magomeni mitaa ya Magomeni (Kagera...Mikumi..Usalama...mwembe chai) Offer yangu ni 70-80 elfu kwa Mwezi... Kama unacho nikuchek PM tuyajenge!