Natafuta chumba cha kupanga

Natafuta chumba cha kupanga

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,270
Reaction score
7,757
Samahani Wana jamvi. Natafuta chumba cha kupanga kilicho karibu na mbezi beach. nimepata site mpya huko. Hata kama ni ya kupanda daladala moja kuelekea kazini. Budget yangu ni 100,000 kwa mwezi. Msaada wenu tafadhari
 
Mbezi beach maeneo gani?njoo goba usafiri mwingi wakati wote na hakuna foleni.
 
Kipo kinzudi usukumani chumba na sebule offer ni hyo 100000 pe month ni pm
 
Yes mkuu ni hiyo laki moja au tisini kwa master na sitting room.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom