mwanampendwa
Member
- Jul 12, 2015
- 33
- 2
Habari zenu wapendwa?
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya ubungo extenal na mabibo hostel, kiwe chumba master na sebule, ndani ya fence, kiwe na maji na umeme na kisiwe mbali na kituo cha daladala ikiwezekana pia kiwe na tiles. Mwenye nacho tuwasiliane 0712162678