Natafuta chumba cha kupanga Self container Haraka

Natafuta chumba cha kupanga Self container Haraka

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,457
Reaction score
615
Natafuta chumba cha kupanga Self container kiwe maeneo ya jiran na barabara inayoelekea mwenge kutoka Africana au kutoka Ubungo. na maeneo mengine jiran na maeneo tajwa yatafikiriwa. liwe ni eneo lenye usalama, na isiwe uswahilini. maji kuwepo ni muhimu sana yawepo bila kukosa.
niPm kwa maelekezo
#Dalali #Chumba #Kupanga
 
Kwani huyo anaetafuta chumba ni Marioo? Cc Heaven on Earth
 
Hee karibu mwezi mzima umeanza kutafuta chumba hujapata? Isijekuwa unataka master wakati budget yako ni 40000 kwa mwezi...Heaven on Earth msaidie huyu dogo aje mkae wote

JF kuna vituko kweli, eti kajitu kama haka kananiita mimi DOGO... Astaghafirullah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom