Natafuta chumba cha kupanga Dodoma

Natafuta chumba cha kupanga Dodoma

Saplaiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
283
Reaction score
287
Wakuu natafuta chumba cha kupanga mkoani Dodoma....kiwe self contained... maeneo ya area c, area d, area a, maili mbili, airport, town na maeneo yote along barabara ya kwenda arusha....kikiwa cha nje but ndan ya fensi (kinajitegemea mlango) itakuwa poa zaidi.....hata kama vitakua viwil bajetn ikiruhusu nachukua
 
Kama ungekuwa unataka maeneo ya kawaida ningekwambia uende ukachek Makuru ila kwakuwa unataka town sijui nikusaidie vipi.
 
Mpigie huyu mzee anapatikana maili mbili 0655194242 anayo nyumba ya kupangisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom