Habari wakuu, natafuta
chumba kimoja cha kupanga kwa dar, kiwe na umeme, choo na bafu kwa nje
kwa ajili ya wapangaji.Mwenye chumba aweke bei hapa.Aweke bei kwa mwezi
itakua bei gani. Nipo serious kinahitajika haraka.Mwenye nacho aweke bei
na aseme kipo dar sehemu gani.
Kipo Kigamboni 40,000 kwa mwezi unalipia miezi sita.[/QU
ok bro nashukuru but kigamboni sijapapenda sana usafiri wake
Mkuu unazungumzia feri au kitu kingine? Kwa sababu Kigamboni hakuna traffic jam na napopazungumzia ni km 5 tu kutoka ferry
Kipo Kigamboni 40,000 kwa mwezi unalipia miezi sita.
wadau mbona kimya vyumba vinahitajika bado.
vip wadau mbona vyumba vinakua adimu sana
vip wadau mbona vyumba vinakua adimu sana