Natafuta chumba cha kupanga arusha

Natafuta chumba cha kupanga arusha

Makendaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
271
Reaction score
142
Habari wana JF.
Heshima kwenu wakuu. Nimehamia Arusha Toka juzi Ila nimekuwa nikilala Lodge Kutokana na kuwa nitakuwa nafanya kazi huku kwa muda wa miezi sita nahitaji chumba ili kupunguza gharama zisizi na msingi

Sifa za chumba ni
1-kiwe kina umeme na cha Block
2-Choo kizuri
3-Maji yawe karibu yasizidi umbali wa 100mt
4-Kiwe kati ya maeneo ya Nanenane mpaka Chuo cha Uhasibu na Kijenge chini.

Mwenye taarifa au anayeweza kunisaidia kwahili Tafadhali tuwasiliane kwa no0764-326096 au ani PM

Hasanteni mungu awabariki.
 
mpigie uyu askari wa U.N
baba lau- 0784 871495
-0754 571594
ana nyumba zakupanga kotazi zitakufaa..very secured maji yapo n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom