Msaada: Natafuta chumba cha kupanga Iringa Mjini

SINA JAMBO

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
338
Reaction score
270
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu...Mimi ni mgeni hapa Iringa na nnatafuta chumba cha kupanga, kiwe single, mwenye nyumba asiishi hapo, kiwe na umeme maji sio lazima, bei kiwe 20000...ambaye yupo tayar kunisaidia aje Private Mesage yaani PM tuyajenge

Shukrani

I AM SINA JAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyumba vipo ila sharti LA kutoishi na mwenye nyumba linazua shaka kwamba una lengo gani?, ni nini hicho ambacho hutaki mwenye nyumba akijue?, basi nami nakupa sharti, uje na mkeo na cheti cha ndoa ndipo nikupe chumba

Kweli wewe team Pombe
 
Hahahaaaaa, yeye si kaweka sharti, dawa ya sharti ni masharti zaidi
mkuu sina lengo baya n by the way mi ndo mara ya kwanza nataka kupanga...n mara nyingi nimekua nikionywa kua nisipende kupanga sehem mwenye nyumba anakaa coz wanakua wanyanyasaji....kukaa na wapangaji wenzangu nipo tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyumba vipo ila sharti LA kutoishi na mwenye nyumba linazua shaka kwamba una lengo gani?, ni nini hicho ambacho hutaki mwenye nyumba akijue?, basi nami nakupa sharti, uje na mkeo na cheti cha ndoa ndipo nikupe chumba
Mkuu wenye nyumba wengi ni visirani kuishi nao ni kama upo jela

Mimi binafsi nilishainua mikono kama nyumba ya kupanga anaishi mwenye nyumba siwezi panga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom