Mimi ni mgeni hapa arusha mjini nimefikia nyumba ya kulala wageni hapa kaloleni natafuta chumba cha kupanga.
1.kiwe katikati ya mji ili kunirahisishia kazi zangu.
2.kiwe na usalama wa kutosha kwani nitakuwa nasafiri sana.
3.kikiwa self nitafurahi zaidi.
4.sihitaji dalali.
Mwenye kujua ani pm nimpe namba za cm.
Samahanini ingawa hapa si mahali pake nimeweka hapa makusudi ili nisaidiwe haraka .