Habari za weekend wadau.
Pole na majukum ya weekend ndugu zangu. Wakuu nilikua naomba kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo nitapata chumba single room ambayo iko standard maji na umeme mazingira mazuri
Kuanzia maeneo ya kariakoo ,magomeni, mabibo ,mpaka ubungo ambacho kitakua karibu na njia ya mwendokasi nilikua naomba tuwasiliana tafadhali
Msaada wenu tafadhari. Muwe na weekend njema