rkid49
Member
- Sep 24, 2014
- 14
- 17
Hello bosses,
Nipo Mkoa wa Tabora, natamani kufanya biashara ya Spare za pikipiki na nimefanya research ya pikipiki gani zinapatikana kwa wingi ni hizi pikipiki za kichina kama sanlg, fekon, honlg, sinoray n.k.
Nimekaa kwenye vijiwe vya mafundi kuona ni vifaa vya brand ipi vinapendwa kwenye haya maeneo nimeona ni
1. Vifaa vyenye chapa ya sinoray
2. Chapa ya PYE
3. Chapa ya SLL
Na vingine ambavyo naendelea kujifunza.
Je nitapata wapi chimbo la vifaa vya pikipiki ambavyo vitauzika?