big-diamond
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 422
- 553
Ni mzazi? i mean ananyonyesha?
Kama amekwenda hosptali na kufanyiwa checkup ya kutosha bado shida haijajulikana, nafikiri ni wakati mzuri wa kufanya maombi ya uponyaji manake na hii nayo ni njia ya uponyaji ingawa wengi hatuitumii. Wapo waliofanya maombi na baada ya hapo walipoenda hospt kwa mara nyingine tatizo lilionekana.
Rejea kichwa cha habari hapo juu....nina mgonjwa anaesumbuliwa na hayo maumivu....anahisi kuungua on her right breast kiasi cha kupandwa na homa iyo hali inapotokea, Ilimuanza kama miezi mitatu iliyopita, tumejaribu kwenda kwenye hospitali kadhaa, zikiwemo muhimbili, Dar Group na Kairuki na kuchukua vipimo kama Ultra Sound na Mammograph..lakini zote zimeonesha kuwa hakuna uvimbe wowote ama dalili ya kutokea kwa uvimbe...Baada ya vipimo kutoonesha ugonjwa wowote, basi akapewa dawa za maumivu na dawa kuondoa acid na dawa za nerves, ila tangu aanze kuzitumia hizo dawa hakuna afadhali yoyote..sana sana ni pain killers tu ndo zinazomuondolea maumivu..ila tiba ya kueleweka hajapata mpaka sasa..plus kuna clinic alikwenda temeke akaandikiwa sindano tano za powersef ambazo nazo hazijamtibu...please kuna mwenye uelewa wowote wa hii kitu..maana ni mateso makali...msaada wowote utathaminiwa sana....
Ni kweli kabisa, kwa sasa tupo kwenye maombi, na tunaamini Mungu atafungua njia ya uponyaji siku moja..thanx dada kwa ushauri
Kuna jamaa humu ndani (Jf) anaitwa Mzizi mkavu..mtaalamu sana wa dawa za kisuna hebu mcheki atakusaidia..
Rejea kichwa cha habari hapo juu....nina mgonjwa anaesumbuliwa na hayo maumivu....anahisi kuungua on her right breast kiasi cha kupandwa na homa iyo hali inapotokea, Ilimuanza kama miezi mitatu iliyopita, tumejaribu kwenda kwenye hospitali kadhaa, zikiwemo muhimbili, Dar Group na Kairuki na kuchukua vipimo kama Ultra Sound na Mammograph..
lakini zote zimeonesha kuwa hakuna uvimbe wowote ama dalili ya kutokea kwa uvimbe...Baada ya vipimo kutoonesha ugonjwa wowote, basi akapewa dawa za maumivu na dawa kuondoa acid na dawa za nerves, ila tangu aanze kuzitumia hizo dawa hakuna afadhali yoyote..
sana sana ni pain killers tu ndo zinazomuondolea maumivu..ila tiba ya kueleweka hajapata mpaka sasa..plus kuna clinic alikwenda temeke akaandikiwa sindano tano za powersef ambazo nazo hazijamtibu...please kuna mwenye uelewa wowote wa hii kitu..maana ni mateso makali...msaada wowote utathaminiwa sana....
Pole sana ndugu kwa uchunguzi wangu huyo Mgonjwa atakuwa na Matatizo ya hormone,Au Dalili ya ugonjwa wa Kansa ya ziwa na kama umemaliza Uchunguzi wote Ma-Hospitalini na hakuna kitu kilichoonekana ataku amefanyiwa Mambo ya Uchawi na maaduwi zake ndio maana maradhi Hospitali kwa vipimo hayaonekani nitakupa dawa ya muda kwanza huku ukiweza kunitafuta kwa Private messege ninaweza kumtibu mgonjwa wako na akapona. Fanya hivi: Tafuta jani la kabichi liweke sehemu ya maumivu yatapunguwa unaweza pia kuliponda ponda kisha ukaweka shemu ya maumivu ya ziwa litasaidia kupunguza maumivu ya kuvimba kwa maziwa.Ukitaka Dawa kamili waweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.MawasilianoAsante Mkuu...ngoja nim cc...
cc: MziziMkavu
;Vipi Mkuu King Kong III Salama lakini?Dr. MziziMkavu msaidie diamond.