RASHID S SEIF
Member
- Apr 4, 2011
- 32
- 3
Natafuta cd za game ya computer especially PES 2013
kama upo pande za dar ninaweza kukupa kila aina ya game ya pc
Cysis 3.. I dont like.... Mbaya on my side... Am waiting for tomb raider which will be released on 5 march 2013..
4sure?cz nna crysis 2 n nmeipenda sana
upo dar?? na mashine yako ina specs za aina gani? desktop au laptop?
kkenzki kweli, ingekuwa gpu ya Nvidia au ATI ungepata raha kweli. mi nina core 2 quad desktop ambayo nimefunga card ya Nvidia GTX 460. inacheza games karibu zote at high resolution ila nahofia siku nikinunua HD TV itaniangusha (natumia monitor ya LCD ya kawaida). tafuta hata duo core mjini iliyo na speed angalau, vuta na video card ya bei rahisi (kuna duka moja pale posta walikuwa na Radeon HD 4850 kwa elfu themanini) na utaona bonge la utofauti in ur gamesyaah nipo dar,,nna laptop ina 6gb ram,500gb hdd ila graphicz card ni ya intel,natamani ingekua nvidia ingekua tam sana