Ng'azagala JF-Expert Member Joined Jun 7, 2008 Posts 1,288 Reaction score 222 Mar 7, 2010 #1 Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani.
Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani.
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,081 Mar 7, 2010 #2 Ng'azagala said: Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani. Click to expand... Ya lini? kama ni 2010 bado hawajatoa maana wanasubiri Chadema watoe yao wao wanakiri.
Ng'azagala said: Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani. Click to expand... Ya lini? kama ni 2010 bado hawajatoa maana wanasubiri Chadema watoe yao wao wanakiri.
Ng'azagala JF-Expert Member Joined Jun 7, 2008 Posts 1,288 Reaction score 222 Mar 8, 2010 Thread starter #3 Mchukia Fisadi said: Ya lini? kama ni 2010 bado hawajatoa maana wanasubiri Chadema watoe yao wao wanakiri. Click to expand... ya 2005
Mchukia Fisadi said: Ya lini? kama ni 2010 bado hawajatoa maana wanasubiri Chadema watoe yao wao wanakiri. Click to expand... ya 2005
Kiroroma JF-Expert Member Joined Feb 6, 2009 Posts 370 Reaction score 116 Mar 8, 2010 #4 Ng'azagala said: Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani. Click to expand... CCM haijawahi kuwa na manifesto ya Kiingereza labda uwatafsirie wewe sasa, kwani wanachama wake wote bara na visiwani ni waswahili deki deki
Ng'azagala said: Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani. Click to expand... CCM haijawahi kuwa na manifesto ya Kiingereza labda uwatafsirie wewe sasa, kwani wanachama wake wote bara na visiwani ni waswahili deki deki
Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 707 Mar 8, 2010 #5 Kwanini unahitaji zote mbili? Kwani huelewi Kiswahili? Au unadhani ya Kiingereza itakuwa na mambo tofauti.
Kwanini unahitaji zote mbili? Kwani huelewi Kiswahili? Au unadhani ya Kiingereza itakuwa na mambo tofauti.
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,140 Reaction score 133,158 Aug 24, 2010 #6 Ng'azagala said: Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani. Click to expand... Wakati wewe unatafuta ya Kiingereza, naomba unipatie hiyo ya Kiswali uliyonayo, nami nitakutafsiria katika lugha ya Kiingereza ila haitakuwa official translation, official hufanywa na Bakita.
Ng'azagala said: Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani. Click to expand... Wakati wewe unatafuta ya Kiingereza, naomba unipatie hiyo ya Kiswali uliyonayo, nami nitakutafsiria katika lugha ya Kiingereza ila haitakuwa official translation, official hufanywa na Bakita.