Siku hizi usitafute spea za elektroniki madukani, nenda mitaa ya Gerezani na Kisutu utawakuta wanaouza maskrapu barabarani, au pita kwa wanaonunua vyuma chakavu utakuta wanabomoa ac, majiko, mashine za kufulia na za fotokopi na vinginevyo, utapata.
Hata hiyo ya 10 inakufaa, kizo ni za kuanzishia mota tu.