Wadau natumai mpo fit, nataka kumfungua kaofisi kadogo shida yangu ni Photocopy ya Canon IR 2018, kuna mdau anaweza nielekeza mahali nitapata kwa bei nzuri? naomba bei ya mpya na used, asanteni

Me ninavyojua 2018 zimekuwa adimu kidogo,nyingi kwa sasa ni IR 2318 na bei zake wengine wanauza 2 mill,wengine 1.5 ni wewe tu na speed yako ya kuzunguka.

Mkuu nashukuru sana ila hizi IR 2318 sio nzuri kama IR 2018 au IR 2016J ni machine nzuri, ni duka gani mkuu linauza hiyo IR 2318 kwa 1.5....please help
mikocheni karibu na njia panda ya kwenda mwenge kushoto kwako kuna jamaa anauza used photocopiers. sina contactz zake ila ukiweza fanya maarifa upacheki. anauza nadhani 1.5M used ex - UK